Mawanda ya Jarida

Hili ni Jarida linalotumia lugha ya Kiswahili, na linachapisha katika nyuga zote za Kiswahili na utamaduni wa Mswahili. Hii ni pamoja na nyuga mahususi zifuatazo:

  • Isimu ya Kiswahili
  • Fasihi ya Kiswahili
  • Historia na Maendeleo ya Kiswahili Pamoja na fursa zake
  • Utamaduni wa Waswahili
  • Mwingiliano wa Kiswahili na Lugha
  • Mwingiliano wa Kiswahili na Nyuga Nyingine Tofauti na Kiswahili (k.v Kiswahili na TEHAMA).