JADAKI ni kifupisho cha Jarida la Darubini ya Kiswahili. Jarida hilo linaloratibiwa na Idara ya Lugha na Stadi za Mawasiliano, Kitivo cha Sayansi za Jamii, Chuo Kikuu Mzumbe.